[emoji16][emoji16][emoji16]Najua atakachosema...Mjurubeng [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe na wachina nao wamo
Haha inazunguka bro,,yaan nmeangalia mara mbil mbil bado tu inazunguka
Hakuna hiyo, leo nimeiangalia mara 3 nyakati tofauti naiona kawaida tuUkiwa na stress inazunguka aisee.. uingalie siku ukiwa tired
Hahahaaa Stress mpaka masikioni. hujaenda holiday xmas wwHaha inazunguka bro,,yaan nmeangalia mara mbil mbil bado tu inazunguka
Yaani kama upo kwenye view hizo amazing za mbugani ndio maana ..upo stress free zoneHakuna hiyo, leo nimeiangalia mara 3 nyakati tofauti naiona kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha acha tu mkuu,,haya maisha hayaHahahaaa Stress mpaka masikioni. hujaenda holiday xmas ww
Mwanaume ni mwanaume tu na lengo letu kuu hapa duniani ni moja tu - kusambaza DNA zetu kwa wingi kwa kadri inavyowezekana ili kuhakikisha our specie doesn't go extinct...na sioni ubaya katika hilo [emoji16][emoji16][emoji16]Kumbe na wachina nao wamo
Hiko kiswahili cha wakenya mie hoi dah[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1001306
Itazame kwa utulivu shekh wa kitongoji, huenda waumini wamekukalia kooni kwa zile hela za sadaka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Haha inazunguka bro,,yaan nmeangalia mara mbil mbil bado tu inazunguka
Fanya hivi. Tafuta konokono mtamu mbichi mbichi aliyevimba mwenye mafuta mafuta ya asili umle kwa raha na starehe sana kwa siku kama mbili hivi halafu rudi tena uitazame hii picha. Usisahau kuleta mrejesho...Haha inazunguka bro,,yaan nmeangalia mara mbil mbil bado tu inazunguka
🤣🤣🤣Spread the seeds mkaujaze ulimwengu..Mwanaume ni mwanaume tu na lengo letu kuu hapa duniani ni moja tu - kusambaza DNA zetu kwa wingi kwa kadri inavyowezekana ili kuhakikisha our specie doesn't go extinct...na sioni ubaya katika hilo [emoji16][emoji16][emoji16]
Huh?🐚🐚🐚🐚Fanya hivi. Tafuta konokono mtamu mbichi mbichi aliyevimba mwenye mafuta mafuta ya asili umle kwa raha na starehe sana kwa siku kama mbili hivi halafu rudi tena uitazame hii picha. Usisahau kuleta mrejesho...
KoookuuuuToto la Kihaya [emoji16][emoji16][emoji16]
Huenda ikawa hivyo...Yaani kama upo kwenye view hizo amazing za mbugani ndio maana ..upo stress free zone
Halafu jamaa akajiovadozi...
Kwema bro?