Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Kweli hii ni Dar?
Kweli hii ni Dar?
Hahahha bro,,,,ugumu wote chali bro,,,,nasikia sasa hv hata ukiwa uko bafuni unaimba kale ka wimbo ka beyonce drunk in love,,,hahahaFor the first time
I am not Afraid to Love
Hahahha sawa sawa broNi tiba nzuri mno kwa steresi. Uchovu ukipungua jaribu
Ni kugangamara tu kwa kweli kwa sababu hakuna namna...Tumshukuru Mungu bro...
Ni tiba nzuri mno kwa steresi. Uchovu ukipungua jaribu
Hahahha bro,,,,ugumu wote chali bro,,,,nasikia sasa hv hata ukiwa uko bafuni unaimba kale ka wimbo ka beyonce drunk in love,,,hahaha
Umebadilika sana bro. I am happy for you. Kati ya watu walioteseka katika uzi huu ni wewe. Kuanzia kwa Malkia ulipambana kweli ikashindikana baadaye ukapata lakini napo ukanyang'anywa na yule mzee asiye na huruma. Nakutakia kila la heri bro na kama nilivyosema majuzi, kwenye mnuso lazima niwepo bro. Na kama yupo hapa safari hii usimzindue. We piga parabo zako za mahaba kimya kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]Bro umenichekesha kweli, eti ugumu wote chali
Si mchezo aisee ukipata unachokitaka lazima upate mawenge kiaina