Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

455205737_70299.jpeg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndio ndio
Umebadilika sana bro. I am happy for you. Kati ya watu walioteseka katika uzi huu ni wewe. Kuanzia kwa Malkia ulipambana kweli ikashindikana baadaye ukapata lakini napo ukanyang'anywa na yule mzee asiye na huruma. Nakutakia kila la heri bro na kama nilivyosema majuzi, kwenye mnuso lazima niwepo bro. Na kama yupo hapa safari hii usimzindue. We piga parabo zako za mahaba kimya kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Huamini amini kama finally amekubali kuoa..mna balaa nyie
Mnaliaga sababu ya mjurubeng...mkifikiria kuwa sasa mmejimilikisha ene taimu mkitaka...na mengineyo. Mkikumbuka mijibaba yote iliyowachezea huko nyuma kwa ahadi za kuwaoa na baada ya kuionjesha tu ikasepa. Kenti bilivu thati evenchuale iti izi rili hapeningi ooooh thenki yu Jizazi na michozi hiyooo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
🤣🤣🤣🤣umenishinda tabia
 
Umebadilika sana bro. I am happy for you. Kati ya watu walioteseka katika uzi huu ni wewe. Kuanzia kwa Malkia ulipambana kweli ikashindikana baadaye ukapata lakini napo ukanyang'anywa na yule mzee asiye na huruma. Nakutakia kila la heri bro na kama nilivyosema majuzi, kwenye mnuso lazima niwepo bro. Na kama yupo hapa safari hii usimzindue. We piga parabo zako za mahaba kimya kimya tu [emoji16][emoji16][emoji16]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

It wasn’t seriously then, now iko pure and natural. Kuhusu uzinduzi tutaangalia kama kuna sababu ya kuifunza jamii tutafanya hivyo

Mnuso Mungu ibariki utakuwepo Bro huwezi kukosa najua unafurahia mimi ndugu yako kufanikiwa pamoja sana, Big Bro
 
Back
Top Bottom