Kupenda wazazi ndio njia ya kwenda mbinguni..If only they knew..
Picha kama ya ISIS hii..hahaha
Tell me about it
Hahaha..Na wanaume wanaenda wapate fweeeza na mavyeooo..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1002011
Hahaha Siku ya mandondoz haikumbuki pia.. Boarding Buana
Malipo hapahapa duniani umeuwa watoto saba ebooo...
We Fragaria wewe [emoji16][emoji16][emoji16]Pole sana.. ntakulisha usijali..njoo pm
🤣🤣🤣 Haya bana... Unakula nini weye?We Fragaria wewe [emoji16][emoji16][emoji16]
Nisaidie hapa hapa laivu. PM zingine haziingiliki walahi...
Muumbaji na uumbaje wake
Kwani kuna kingine cha kula mbali na ugali?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Haya bana... Unakula nini weye?
This is super cute
Kweli.Tomorrow never comes
[emoji106][emoji106]Mmeshindaje?
Aisee Mungu mjuzi bana
Powa..Mko poa?
Haya bana huo hapo!Kwani kuna kingine cha kula mbali na ugali?