Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

images%20(3).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
*_CAF WAMESEMA HAYA NDIO MATOKEO AMBAYO HAWATAWEZA KUYASAHAU MAISHANI MWAO KATIKA HISTORIA YA SOKA LA AFRICA_*

_*(1)* mfulila 0-5 simba ikumbukwe simba ilifungwa nyumban magoli 4-0 lkn ilipoenda ugenini kule zambia ikapindua matokeo kwa kushinda 0-5 ugenini caf wamesema hawataweza kulisahau hilo tukio maana halijawah kutokea duniani ni simba2 ndo walifanya ivo_

_*(2)* Yanga 0-7 Raja Casablanca>>1956_

_*(3)* Orlando pirets 10-0 Yanga>>1960_

_*(4)* Constatine 9-0 Yanga>>1964_

_*(5)* Al ahly 12-0 Yanga>>1969_

_*(6)* Yanga 0-16 Tp Mazembe>>1972_

_*(7)* Yanga 0-11 Es Setif>>1985_

_*(8)* Kaizer chief 13-0 Yanga>>1988_

_*(9)* Yanga 3-9 raja casablanca_

*_Caf wamesema hayo ndio matokeo ya ajabu zaid ya yote kuwah kutokea kwenye soka la africa_*
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Una vifaa prof?

Una ujuzi?

Yatauzika au tutakuwa tunavaa wenyewe?

Kawe na siku njema prof [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Hahahahaha!!!
Uzi ninao njoo na sindano.
kitambaa cha sweta ataleta Yegomasika
Ujuzi upo teleee.

Tutavaa wenyewe, kazi ya mikono yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom