Duma ni mnyama jamii ya paka, hutumia nyama kama chakula chake kikuu, usipokuwa makini unapomuona unaweza fikiri kwamba umekutana na chui, yote hiyo ni kwakuwa wana ufanano sana wanyama wa aina hii ya paka, hususani chui, simba malala (Tiger), chui mweusi (black pather) pia Jaguar na mondo.
Jike hubeba mimba kwa miezi mitatu, watoto hufungua macho baada ya siku 1 mpaka 3, na ifikapo mwaka mmoja na miezi sita, watoto hao huanza kujitegemea katika maisha yao, ingawaje bado huwa na ujilani na mama yao,