Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mabingwa hao wa Ufaransa wako katika hatua ya kushushwa daraja baada ya kupata ushindi wa mara tano chini ya uongozi wa Henry katika mashindano yote.
Meneja msaidizi, Franck Passi, alichanguliwa kama msaidizi wa Henry tarehe 20 mwezi Disemba , walipokuwa wakifanya mazoezi siku ya Ijumaa, klabu hiyo imesema.
Passi hapo awali alikuwa kama kocha wa muda wa klabu ya Marseille na Lille
 
Henry- aliajiriwa mwezi Oktoba - alikuwa ameomba msamaha kwa kumtusi beki wa Strasbourg Kenny Lala, katika mechi yaliyochapwa magoli 5-1 siku ya Jumamosi
Hapo awali alikuwa meneja msaidizi wa Ubelgiji.
Alikuwa ameorodheshwa katika orodha ya wanaowania kazi ya umeneja na klabu Aston Villa mwezi Oktoba kabla ya kuchukua nafasi ya umeneja na klabu ya Monaco.
 
Je, hatua hiyo ilitarajiwa?
Wadokezi katika klabu hiyo walikuwa wakiwaambia kila mmoja kwamba kazi yake iko salama. Usiku wa leo walitangaza kwamba atapigwa kalamu.
Ushindi wa mara mbili katika mechi 12 si dhihirisho kamili ya kazi njema. Alimtusi beki wa Strasbourg na pia kuwa na mabishano yalishuhudiwa na baadhi ya vyombo vya habari.
 
Labda uamuzi wake wa mwisho ulikuwa kuwaondoa baadhi ya wachezaji wanaocheza katika timu ya kwanza bila kuwaarifu wakuu katika klabu hiyo na hilo ndilo lililochangia kwa kufutwa kazi kwake.
Hivyo sivyo jinsi klabu hiyo ilivyotaka meneja huyo kuwa. Yote hayo yakiunganishwa ilimaanisha kwamba hangekuwa meneja tena.
 
Leonardo Jardim bado anaishi Monaco na hukutana na wachezaji wake barabarani akielekea katik duka la kuoka mikate . Yeye ndiye you katika nafasi nzuri ya kuvalia viatu vya Henry.Jardim alikuwa na matokeo bora kwa kushinda ligi mwaka 2017, kabla msimu huu ambapo mambo yalianza kuindea mrama timu hiyo.
 
Labda uamuzi wake wa mwisho ulikuwa kuwaondoa baadhi ya wachezaji wanaocheza katika timu ya kwanza bila kuwaarifu wakuu katika klabu hiyo na hilo ndilo lililochangia kwa kufutwa kazi kwake.
Hivyo sivyo jinsi klabu hiyo ilivyotaka meneja huyo kuwa. Yote hayo yakiunganishwa ilimaanisha kwamba hangekuwa meneja tena.
 
Labda uamuzi wake wa mwisho ulikuwa kuwaondoa baadhi ya wachezaji wanaocheza katika timu ya kwanza bila kuwaarifu wakuu katika klabu hiyo na hilo ndilo lililochangia kwa kufutwa kazi kwake.
Hivyo sivyo jinsi klabu hiyo ilivyotaka meneja huyo kuwa. Yote hayo yakiunganishwa ilimaanisha kwamba hangekuwa meneja tena.
 
6cfa02b2871c5e6289190fc764a2c928.jpeg
 
Paul Pogba ana sifa za kuwa nahodha wa Manchester United, amesema kocha wa muda wa timu hiyo Ole Gunnar Solskjaer.
Pogba alikuwa nahodha msaidizi wa United kabla ya kocha Jose Mourinho kumvua wadhifa huo mwanzoni mwa msimu.
Kiungo huyo mwenye miaka 25 alivaa kitambaa cha unahodha msimu huu katika mechi tatu wakati Antonio Valencia alipokuwa majeruhi. Hata hivyo alivuliwa madaraka hayo mwezi Spetemba.
 
Namjua kijana huyu (Pogba) kwa muda sasa na ni kiongozi," amesema Solskjaer, ambaye alimfunza Pogba akiwa kinda kati ya miaka ya 2008 na 2010.
"Ana ushawishi mkubwa mbele za watu. Anajali na uchu wa mafanikio.
Maisha ya Pogba nje ya uwanja yamekuwa yakisimangwa sana, sawa na namna anavyotembea kwa madaha kabla ya kupiga mikwaju ya penalti msimu huu.
Lakini masimango hayo yanaonekana kugonga mwamba, na kiwango chake mchezoni kimeimarika maradufu toka Solskaer alipochukua mikoba ya Mourinho aliyetimuliwa kazi mwezi Disemba.
 
Katika mechi sita chini ya Solskjaer Pogba amefunga magoli matano na kupiga pasi za mwisho zilizozaa magoli manne.
"Paul ana mbwembwe nyingi pia, lakini hivyo ndivyo alivyo," amesema Solskjaer.
"Mitandao ya kijamii ni sehemu ya maisha tunayoyaishi kwa sasa. Ndiyo jamii ya leo. Tuna kanuni kadhaa lakini sina tatizo na mitadao."
 
Back
Top Bottom