Labda uamuzi wake wa mwisho ulikuwa kuwaondoa baadhi ya wachezaji wanaocheza katika timu ya kwanza bila kuwaarifu wakuu katika klabu hiyo na hilo ndilo lililochangia kwa kufutwa kazi kwake.
Hivyo sivyo jinsi klabu hiyo ilivyotaka meneja huyo kuwa. Yote hayo yakiunganishwa ilimaanisha kwamba hangekuwa meneja tena.
United wasipompa kazi OGS watakuwa wamezingua sanaGGMU
Sana tu,jamaa kaibeba mno timuUnited wasipompa kazi OGS watakuwa wamezingua sana
Sana,,,usiku mwema binti mpole!!Sana tu,jamaa kaibeba mno timu
Hahahaah usiku mwema pia kijana mjanjaSana,,,usiku mwema binti mpole!!
Kona njema.
Hahahahah aya bhnaHahahaah usiku mwema pia kijana mjanja