Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

66F6908D-26B1-4266-9EF5-3BA32976E2C2.jpeg
 
Hii ndo rock city bana unakuja na mitisheti yako ya maana unabadilishiwa kwa mashati ya vitenge Davet hope upo poa hahahha zile jeand mikato sijui michaniko ziko bomba bana usirudi dar na surual za vitambaa kama za ankooooooo andjul
i miss our dia biblia View attachment 1004929
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mama Lissu bana!!!
Habari ya wikendi binti yangu? Mungu ni mwema maisha yanaenda kama alivyo yapanga
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mama Lissu bana!!!
Habari ya wikendi binti yangu? Mungu ni mwema maisha yanaenda kama alivyo yapanga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mama lissu daah. Weekend imeanza poa kabisa,jua kali,mawingu kwa mbali mambo murua kabisa
 
Mshambuliaji wa Southampton Charlie Austin ataondoka klabu hiyo mwezi huu. Tayari Wolverhampton Wanderers na Aston Villa wameonesha nia ya kutaka kumnunua muingereza huyo wa miaka 29. (Telegraph)
 
Meneja wa Crystal Palace Roy Hodgson amepuuzilia mbali ripoti zinazodai kuwa winga wa kimataifa wa Ivory Coast, Wilfried Zaha, 26, anaechezea klabu hiyo huenda akajiunga na Borussia Dortmund. (Goal.com)
 
Real Betis wako tayari kumsaini Emerson, 20, katika hatua ambayo imedidimiza matumaini ya Liverpool na Arsenal ya kupata huduma za beki huyo raia wa Brazil. (Marca)
 
Back
Top Bottom