[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Hii ndo rock city bana unakuja na mitisheti yako ya maana unabadilishiwa kwa mashati ya vitenge Davet hope upo poa hahahha zile jeand mikato sijui michaniko ziko bomba bana usirudi dar na surual za vitambaa kama za ankooooooo andjul
i miss our dia biblia View attachment 1004929
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mabinti only. Kausha jiran haikuhusu
Yaan balaa hadi jirani anaulizia location [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi "vipete" vya tubinti vitatuua haki ya nani...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti mama lissu daah. Weekend imeanza poa kabisa,jua kali,mawingu kwa mbali mambo murua kabisa[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mama Lissu bana!!!
Habari ya wikendi binti yangu? Mungu ni mwema maisha yanaenda kama alivyo yapanga