Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Beef Lasagna uko wapi?
Lazy Sunday. Kuna mvua na baridi ya kufa mtu huko nje. Nipo nipo tu mzee baba. Nisalimie makamanda wangu.
Kero? A yu siriazi?
Mkuu uku kwetu ni joto heavy ..bora uko kwenu kuna mvua.Lazy Sunday. Kuna mvua na baridi ya kufa mtu huko nje. Nipo nipo tu mzee baba. Nisalimie makamanda wangu.
Hahaha mizigo kama hii inaitaji uwe na stamina ya kutosha ..la sivyo unaeza ishia ràundi ya kwana tuu..
Safi sana. Kupambana ndo sifa kuu ya mwanaume. Mungu Aendelee kukubariki uwalee vizuri hao makamanda [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mkuu uku kwetu ni joto heavy ..bora uko kwenu kuna mvua.
Makamanda wameanza shule mkuu ..hope wananipa changamoto za kupambana..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida sana...hakuna jipya[emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha mizigo kama hii inaitaji uwe na stamina ya kutosha ..la sivyo unaeza ishia ràundi ya kwana tuu..
Apo Mgodini mpka umulike na tochi hahaha..
Sent using Jamii Forums mobile app