moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Safi sana, mambo ya kufanyiana majungu hapana taka.
Gonga ngumi mpaka akili ziwakae sawa[emoji16][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, mambo ya kufanyiana majungu hapana taka.
Mkuu wa Wilaya ametumbuliwa leo. Watu na madaraka yao kila mtu anataka kuonyesha ubabe wakeSafi sana, mambo ya kufanyiana majungu hapana taka.
Gonga ngumi mpaka akili ziwakae sawa[emoji16][emoji6]
Sent using Jamii Forums mobile app
ndiyo mkuu, simba jike ila kwa hawa bado najiuliza what went wrongMhhhh.....
Unajua ni simba yupi ndiye huwinda?