carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Keshaacha mtu hapo siku hiz hashtag za aminlove hazipo.Mange ako na stress nin?maana alisema akiwa na stress huwa anachamba sitashangaa kama kaachwa tayari.
Ila hawa wamama wa insta nao
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh,,umenistua nikajua Cantona yule wa Man UContona anazikwa kesho Jumanne makaburi ya Kinondoni huku Zai akitarajiwa kuzikwa leo Tabata Chama.
A.k.a hizi majangaDuh,,umenistua nikajua Cantona yule wa Man U
Hahahaha napenda magazeti ya ankoo na shuain zake dah aunt anafaidi sana huko alipo
Hahaha tabu sanaA.k.a hizi majanga
Hawa wamama wa insta huwa wanayataka nao.Keshaacha mtu hapo siku hiz hashtag za aminlove hazipo.
Huyo mama tangu zaman zero brain ila kumtukana vile sio kabisa maana yeye mange kawakuta kama walivyo hata hajawaongezea kitu kwenye u empty set wao zaidi ya kumuuza pug marekan
Hahaha bro anaiona hii,,,wasukuma bhna hahaha
Na sura za baba basi tabu tupu hujui binti ni yupi na mwenye parachichi ni yupi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha napenda magazeti ya ankoo na shuain zake dah aunt anafaidi sana huko alipo
Kwetu raha nao waonjepo kajoto ka huyo wanayemshabikia na kumuona mkombozi waoHawa wamama wa insta huwa wanayataka nao.
Sema mange kakosea kumtukana hivi huyu mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe na Wasukuma wako sijui mtafikishana wapi indeed walahi mane lavusi mi ai tachi niu mane everedei Masaki Peninsula is my home. Za kupotea lakini?
Hahaha bro anaiona hii,,,wasukuma bhna hahaha
Hahaha numbisa wwNa sura za baba basi tabu tupu hujui binti ni yupi na mwenye parachichi ni yupi
Hawa ukitaka kuwajua lazima uwafunue kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Na sura za baba basi tabu tupu hujui binti ni yupi na mwenye parachichi ni yupi
Kwenye hili suala bro yaani huwa sikuelewagi kabisa...You deserve an uppercut bro [emoji36][emoji36][emoji36]Hahaha bro anaiona hii,,,wasukuma bhna hahaha