Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sijui nitakuwa sijaelewaa?!!! Yaani konokono plasi milioni tano? Niache konokono nichukue milioni 5? Ili iweje? Yaani vimilioni vitano viwe vitamu kuliko konokono? Haki ya nani dunia imeshaishiwa na kundi la wavulana.
Huyo binti anatumia kigezo gani (mimi mwenyewe mweusi kama huyo fala) kutongoza?
Tafadhali Anko nipo kwenye uhitaji wa "konokono" anaeliwa huku mlaji akipongezwa na vinoti noti vya mafungu... Niunganishe nae kama una mfahamu... Pulizzzz ankoo [emoji120][emoji120]
 
Hahahahaha hata mm nmemshangaa huyu kijana,,anapata wapi kiburi cha kukataa ili hali na pesa tayali kapewa tena 5mil,,aisee au itakuwa wanatafuta Kiki tu,,maana hana jipya kwa sasa

Hii itakuwa Kiki,,hana uwezo wa kumkataa huyo mdada!!
 
Hahahahaha hata mm nmemshangaa huyu kijana,,anapata wapi kiburi cha kukataa ili hali na pesa tayali kapewa tena 5mil,,aisee au itakuwa wanatafuta Kiki tu,,maana hana jipya kwa sasa

Hii itakuwa Kiki,,hana uwezo wa kumkataa huyo mdada!!
Konokono ni chakula kitakatifu, sio cha kutafutia umaarufu. Huyo mnamwita sijui Kabaka ze pwinse shwaiini sana, nimeona anamtishia askari kisa karambwa kakibao ka shavu, anajifanya nae maarufu, maarufu gani hawezi kula konokono? Watu tuna hangaika kutafuta konokono wa frii ovu chaji bati whea... Yeye na malipo juu alafu anazingua? Wamfunge miaka 50 tu hana faida
 
Hahahahahah anko bana. Kwani na wewe ni mwanamuzik mbana pua?mabinti wa siku hizi shuaini zao kisa kaona baraka yupo kwenye mahusiano na naj basi nae kajipeleka ili aliwe aende kutangaza insta na kujibebesha mimba juu
 
Hahahahahahaah jamani
 
Staa wa zamani wa Ligi Kuu ya England, Alan Shearer ambaye alitwaa ubingwa wa England na Blackburn Rovers mwaka 1995 anaamini kwamba huo utakuwa mtihani mkubwa kwa Liverpool tangu iongoze ligi kwa muda mrefu kwa sababu City itatangulia kucheza mechi zake na kuna uwezekano mkubwa akashinda na hivyo kubakiza pointi moja kwa Liverpool kabla haijaingia uwanjani.
 
Hahahahahah anko bana. Kwani na wewe ni mwanamuzik mbana pua?mabinti wa siku hizi shuaini zao kisa kaona baraka yupo kwenye mahusiano na naj basi nae kajipeleka ili aliwe aende kutangaza insta na kujibebesha mimba juu
Tshaa!!! Wanawataka wabana pua tu?
Au kama vipi ankoo nitengeneze niwe maarufu. Nikutumie picha zangu uwe unazirusha kule insta kwenye ile account pendwa, utakuwa unaniponda kwa sura mbaya ila unanisifia kwa ubebaji fenesi.... Hapo vipi ankoo wangu mzuri?
 
Liverpool ambayo inasaka ubingwa wao wa kwanza wa Ligi Kuu ya England tangu mwaka 1990 inaongoza kwa tofauti ya pointi nne dhidi ya City na endapo City itaanza kwa kushinda mechi zake leo na Jumapili ijayo kuna uwezekano mkubwa akaipa Liverpool presha kubwa kwa sababu itakuwa imeikaribia kwa tofauti ya pointi moja kabla ya Liverpool kujimwaga uwanjani.
 
 
[emoji23][emoji23]Ankoo kule mbali bana wee kama unataka konokono wa kumwaga leta mchongo ujionee MMU kila siku misifa kibao,mistaili kama yote,mipicha picha mistory ya uongo na kweli wacha wee kwa makonda patafurikaje mpaka utaanza piga kufuli na kukataa mahela kama baraka
 
Kwa mara ya kwanza tangu Liverpool iweke pengo la uongozi kule kileleni, Manchester City ana nafasi kubwa ya kuwapa presha. Kwa mechi mbili zinazofuatia City inacheza kabla ya Liverpool huku ikiwa na nafasi ya kupunguza uongozi hadi pointi moja kabla ya kikosi cha Jurgen Klopp kucheza.” Alisema Shearer.
 
Nimewahi kuwa katika mazingira hayo na najua inavyokuwa. Utasikia mara nyingi watu wanajidanganya ‘Ngoja tuwe makini na mechi zetu tu’. hata hivyo hakuna namna ambayo unaweza kuepuka kuangalia wengine huku ukiombea wateleze.” Aliongeza Shearer.
 
 
Wachezaji mmoja mmoja wana uwezo tofauti wa kuhimili hali hiyo, lakini zaidi ya James Milner na Daniel Sturridge, wachezaji wa Liverpool hawajahi kuwa katika hali hiyo. City ana faida, wamewahi kuwa katika hali hiyo. Pengo linaweza kuwa pointi moja baada ya City kucheza, lakini unaweza kuamini kwamba Liverpool wataichapa Leicester City siku inayofuata. Ukiwa hauna timu unayoishabikia hapo unafahidi.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…