Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hujakutana na mijurubeng wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hamna bana hakitanukagi hivyo
Hujakutana na mijurubeng wewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]Hamna bana hakitanukagi hivyo
Aisee niliuona huo mfukuanyo ulivyoutupia nilicheka sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Really!!!!!! Hadi Jesus kwenye mambo hayo aiseeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unasema kweli??? Ina maana watu wanavyolalama na kuparuana humu ni ya kweli?[emoji23][emoji23]Ankoo kule mbali bana wee kama unataka konokono wa kumwaga leta mchongo ujionee MMU kila siku misifa kibao,mistaili kama yote,mipicha picha mistory ya uongo na kweli wacha wee kwa makonda patafurikaje mpaka utaanza piga kufuli na kukataa mahela kama baraka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hamna bana hakitanukagi hivyo
Yeah ya kweli na mengine ya uongo ili mradi siku imeisha kwa mivurugano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unasema kweli??? Ina maana watu wanavyolalama na kuparuana humu ni ya kweli?
Basi nimeshindwa, utani usije kuniponza nikaikimbia Id yangu bure... [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
So siyatakiwa tumtangulize mungu katika kila jamboReally!!!!!! Hadi Jesus kwenye mambo hayo aiseeeee