cherie neisha
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,873
- 20,705
[emoji57]
Mzee wa liver jana siku nzima sikumuona humu sijui watu washa m roma...Hajaonekana humu? Kuna mtu anaweza kuwa responsible...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tayari....Yea, rasmi ilikuwa ni leo. Sitakuangusha, msema kweli ni mpenzi wa Mungu, nimefurahi sana.