Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hahahahaha sawa sawa anko hahahaKonokono ni chakula kitakatifu, sio cha kutafutia umaarufu. Huyo mnamwita sijui Kabaka ze pwinse shwaiini sana, nimeona anamtishia askari kisa karambwa kakibao ka shavu, anajifanya nae maarufu, maarufu gani hawezi kula konokono? Watu tuna hangaika kutafuta konokono wa frii ovu chaji bati whea... Yeye na malipo juu alafu anazingua? Wamfunge miaka 50 tu hana faida
HahahahaHamna bana hakitanukagi hivyo
Gregg Odden....
Dunk competition winner