Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtu ukishakula yamini wala haina shida, UGUMU uko pale pale! [emoji1]
Acha baridi hilo likukung'ute alone kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]

Kuna dogo kaja kafikia Minneapolis kule leo nimempigia anasema eti nikisikia kafa kwa ajili ya baridi nisishangae [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna uzi wa kuhadithiana vituko mara ya kwanza kupanda ndege daah full kuchekesha jamaa mara ya kwanza kwenda ulaya akiwa dar akavaa vest na bukta kisa joto la dar na vitu vingine kaweka kwenye begi huko hataki mizigo. Kufika mamton barid balaa kidogo agande
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…