Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata hivyo mechi hiyo haikwenda vyema kwa upande wao kwa sababu Brighton ilipambana wakasawazisha bao hilo na kushinda mchezo kwa matokeo ya 2-1. Lakini, hayo yalikuwa matokeo ya uwanjani, kwa upande wake mchezaji Jorgensen ameondoka uwanjani na rekodi yake ya kuwa mchezaji aliyefunga bao la haraka zaidi kwenye Ligi Kuu England.
 
Aguero alifunga bao katika sekunde ya 24 baada ya mechi kuanza, kwenye mchezo ambao Man City ilikumbana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Newcastle United licha ya kutangulia kufunga.Kwa msimu huu, bao hilo la Aguero ndilo lililokuwa la mapema zaidi kwenye ligi hiyo.
 
Hata hivyo, bao lake hilo halikuwa na maana yoyote kwa sababu timu yake imeshindwa kuondoka uwanjani na pointi tatu. Kama Man City ingeshinda ingepunguza pengo la pointi na kubaki moja dhidi ya Liverpool, lakini sasa kama vijana hao wa Jurgen Klopp watakuwa wameichapa Leicester City usiku wa jana, pengo litaongezeka na kuwa pointi saba.
 
.
FB_IMG_1548924447843.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom