Inapendeza bro!Majambo yanasogea bro
Mungu Mkubwa
Hahahaha aisee,[emoji23][emoji23][emoji23]humu ndani hamchelewi kuanzia mada ambazo hazimo lazima kukazia.
Kwema lakin ninge?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahah
Hahaha sawa sawa,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpende jiran yakoo kama unavyojipendaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hata akitaka muende na mfike wote kona ya bwiru,,,muende wote piaAkiombaa nyama umpatie,akiomba juithi umpatiee akiomba ujiiii umpatieee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siyo kweli kabisa Bro! Hiyo TV ya Gamboshi unayoangalizia inakupa vitu fake! Naapa kuendelea kuwa MGUMU kama chuma ili Mama yangu aendelee kula vinono; siyo anaogea sabuni ya Tshs 200 kama alivyosema Numbisa aisee! [emoji23][emoji23][emoji23]
AminWale wenye matatizo Mungu awafanyie wepesi