Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Mbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari walishaanguka... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
[emoji1][emoji1][emoji1]... Poti mti mkavu huyu Bro, mzizi wake wala hauchimbwi dawa! [emoji1][emoji1]