Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nacho Monreal

Asilimia kubwa ya washika bunduki waliamini kuwa, Nacho Monreal, aliyesajiliwa mwaka 2013, ingekuwa bonge la usajili. Walimtegemea kuziba pengo la muda mrefu katika safu ya beki ya kushoto. Hata hivyo, hakuwa na jipya kivile.
 
Kim Kallstrom

Wakati akifanyiwa vipimo vya Afya, Arsenal waligundua kuwa, Kallstrom alikuwa na jeraha la mgongo, lakini waliamua kumsajili kwa mkopo mwaka

2014. Aliingia dimbani mara nne tu, akifunga bao moja la penalti dhidi ya Wigan, katika hatua ya nusu fainali ya kombe la FA. Kiungo huyo, alitundika daluga Desemba 2017.
 
Krystian Bielik

Nyota huyu, mwenye miaka 20, alijiunga na Arsenal mwaka 2015, ambapo ameichezea klabu hiyo mara mbili tu, katika mechi ya Kombe la Ligi, kabla ya kupelekwa Birmingham City (2017) na Walsall (2018) kwa mkopo. Hivi sasa yuko Charlton kwa mkopo.
 
Mohamed Elneny

Kila mtu anampenda Mohamed Elneny. Kiungo huyu, raia wa Misri alijiunga na Arsenal, Januari 2016, akitokea FC Basel.

Tangu hapo amekuwa akisota kwenye benchi la Arsenal, ambapo nafasi chache alizopata ameingia akitokea benchi.
 
Cohen Bramall

Huyu ni kama aliokota embe chini ya mnazi. Kutoka katika timu ya mchangani hadi kwenye klabu ya EPL, ni bonge la zali. Mwaka 2017, beki huyu wa kushoto alitua Arsenal, lakini hakukaa sana akapelekwa Birmingham City.
 
Konstantinos Mavropanos

Wengi hawamfahamu. Hata wakati anatua Arsenal hakuna aliyetarajia washika bunduki wangetoa Pauni 1.8 milioni kwa ajili yake. Lakini Konstantinos Mavropanos, alijikuta akiandamwa na majeraha, ambayo yaliathiri kiwango chake.

Ameingia dimbani mara tatu tu, ambapo mechi yake ya kwanza ilikuwa ni dhidi ya Man United, ambayo Arsenal walipigwa, huku akiingia daftari za mwamuzi, katika dakika 15, alipolimwa kadi nyekundu dhidi ya Leicester City.
 
Henrikh Mkhitaryan

Sven Mislintat, alikuwa mstari wa mbele kuishawishi Arsenal ikamilishe usajili wa Mkhitaryan kutoka Man United, ikiwa ni sehemu ya dili, lililoshuhudia Alexis Sanchez akitua Old Trafford.

Alianza vizuri kabla, majeraha ya mara kwa mara hayajamuweka pembeni. Hivi sasa amekuwa mpenzi mtazamaji. Kiungo huyo mshambuliaji, amefunga mabao saba na asisti tisa, katika mechi 37, alizoingia dimbani.
 
Pierre-Emerick Aubameyang

Huyu ndio baba yao. Usajili wake, kutoka Borussia Dortmund uliogharimu pauni 56 milioni, uliweka na unashikilia rekodi katika historia ya Arsenal. Mpaka sasa Aubameyang, amefunga mabao 26, katika michezo 41 yakiwemo 15 ya Ligi Kuu England na ndiye staa anayeibeba Arsenal kwa sasa kwenye kufunga mabao.
 
2020 hiyoooo. Tuombe uzima tufike tuone vimbwanga vya wanasiasa tena [emoji16][emoji16][emoji16]
1840416219.jpeg
 
ahahahaha kama sio yeye vile
Mbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari wengi walishaangamia... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
 
Back
Top Bottom