Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tukuyu rahaaaaaaaaa [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
449015435_215587~2.jpeg
 
Mbunye ni kilainishi cha roho, mwili na akili. Falme nyingi zilishaanguka. Vita vingi vilishapiganwa. Koo na falme nyingi hasimu zilishaungana. Mashujaa hodari wengi walishaangamia... sembuse bro wangu mlaini huyu? Hata kapoti siku kakikamatika utafikiri siyo kenyewe japo nadhani kwa jinsi kalivyo kabishi hakatakiri hadharani. Hiyo kitu ndiyo inayoendesha dunia na ndiyo lengo kuu la mwanaume rijali tangu anapoamka asubuhi na kuamua kujisopusopu kwa kuji-groom vizuri mpaka anaporudi kulala usiku... [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Bro napenda sana hizi briefing ziko powa sana, mimi pia nilikuwa shujua lakini nakili kwa utimamu wangu bila kushinikizwa na yeyote yule nimekubali
I surrender all to her [emoji4]
 
Bro napenda sana hizi briefing ziko powa sana, mimi pia nilikuwa shujua lakini nakili kwa utimamu wangu bila kushinikizwa na yeyote yule nimekubali
I surrender all to her [emoji4]
Umetimiza jukumu mojawapo muhimu sana la urijali..na jukumu hilo halikwepeki. Hongera sana bro [emoji122][emoji122][emoji122]
 
Usimtoe bro. Mpaka apunguze dharau na chuki kwa Wasukuma..Mwache akae huko mpaka akili za Kizaramo zimkae sawa [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseeh[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
Ukitolewa kwenye iginoa listi ya Cole, nami naomba unitoe kwenye iginoa listi yako. Usipotolewa na mimi usinitoe. [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099] [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Back
Top Bottom