Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wachezaji wa kigeni ni mpango wa watu wa kupiga pesa.
Simba ilifika fainali ya Kombe la CAF 1993 ikiwa na kocha mzawa Abdallah Kibadeni King na bila ya mchezaji hata mmoja wa kigeni.
Mwaka 1974 ilifika hatua ya nusu fainali ikizitoa timu vigogo barani Afrika ikiwa na wachezaji wazawa na Kocha mzawa Paul West Gwivaha, lakini sasa wanajazwa wageni Kocha na wachezaji ambao uwezo wao uko chini kuliko wenyeji.
TAFAKARI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…