Amani ni silaha ya Biashara ya utalii na nyingine zoteAmani yetu muhimu sana
Hapa kwetu leo ni baridi kali aisee, 5°.Ndivyo tulivyo binadamu.
Vipi joto huko? Mimi limenikausha utadhani dagaa wa Mwanza[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji818]
Maisha ni hatua... Mmoja wa vijana hao ana maisha mazuri sana hapa Bongo... Labda ni kwa sababu ya jina la baba yake.Kwa mbali mawimbi ya Bahari ya Hindi yakirushwaView attachment 1012626
Sent using Jamii Forums mobile app
Tanzania yetu[emoji445][emoji441]
AiseeMaisha ni hatua... Mmoja wa vijana hao ana maisha mazuri sana hapa Bongo... Labda ni kwa sababu ya jina la baba yake.
Hapo ni mjini Mbeya enzi hizoView attachment 1012635