Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!!
Nimejifunza kitu, unaweza ukawa unapambania familia yako ili ipate maisha bora, lakini familia hiyo hiyo ikashindwa kuzitambua juhudi zako unazozifanya kwa ajili yao... Ikawa inakudhihaki,wakati huo huo bado inahitaji msaada wako. Ni binadamu wachache sana walio barikiwa uwezo wa KUTAFAKARI.
Samahani nitakuwa nimekujibu kitofauti ila nakujua,umenielewa namaanisha nini.

Bradha... Kuna maisha baada ya ajira...
Binadamu wengi huwa tunatupia macho mbele tuendako mara nyingi zaidi kuliko tuliko toka. Ni bora kutupia macho uliko toka mara nyingi zaidi kuliko uendako,maana ulicho nacho chafaa zaidi kuliko uki tarajiacho.
Twende na likes zetu mkuu [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mkuu nimekuelewa ya ela yote.

Inauma sana, tuendelee na likes tuu.
 
Mbezi beach mambo safi
FB_IMG_1549221194071.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom