myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes zinaendelea kutolewa
Amen.Usiku uwe mwema kwetu wooote
Hahaha bro bhana,,tuombe uzima bro,,ila hadi sasa nmeshachezea vibuti hakuna mfBado kidogo nawe uanze parables za mapenzi kama yule bro mwingine. Kenti weiti [emoji16][emoji16][emoji16]
Safi
Kiaje?Sana tuu, halafu nnakuelewa sana wewe.
Haina mabadiliko...HABARI ndiyo hiyo. Kijiti cha kuinoa Arsenal baada ya kuondoka Arsene Wenger kwa sasa anacho Unai Emery.
Hapana, nilipita huko siku chache zilizopita,Moud salama ipo pande hizo?
AiseeWakati wachambuzi wa soka kadhaa wakiamini Arsenal haina mabadiliko, kilichofichuka, kumbe timu hiyo ndani ya miezi 18, yani mwaka mmoja na nusu tu, imesajili wachezaji wa kikosi kizima.
Huyo nae hawezi kitu....Kocha Wenger aliachia ngazi kuinoa timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita na baada ya hapo mikoba akachukua Mhispaniola, Emery, anayepambana na hali yake hadi sasa, ambapo vita anayopigana kwa sasa ni kuhakikisha The Gunners wanamaliza ligi ndani ya Top Four ili kukamatia tiketi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya kitu kilichowashinda kwa misimu miwili iliyopita.