moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Posta mpya kwa sasa
Na huku enzi hizoZamani za mzizima....
Salama mkuu?Na huku enzi hizo View attachment 1012582
Salama kabisa kiongozi. Habari ya wikendi huko?Salama mkuu?
Salama kabisa kiongozi. Habari ya wikendi huko?
Tupo kwenye maandalizi ya kulianza juma la pili la mwezi wa piliNjema kabisa namshukuru Mungu.
Juma la kwanza au la pili anko?Tupo kwenye maandalizi ya kulianza juma la pili la mwezi wa pili
Moud salama ipo pande hizo?
Leo ni Jumapili ya kwanza ya mwezi wa pili na jana ilikuwa Jumamosi ya kwanza ya mwezi wa pili, maana yake wiki la kwanza la Februari limeisha. Utakuwa ulisoma masomo ya hesabu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Juma la kwanza au la pili anko?
😀😀😀😀 haya bana.Leo ni Jumapili ya kwanza ya mwezi wa pili na jana ilikuwa Jumamosi ya kwanza ya mwezi wa pili, maana yake wiki la kwanza la Februari limeisha. Utakuwa ulisoma masomo ya hesabu wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji818]Tupo kwenye maandalizi ya kulianza juma la pili la mwezi wa pili