moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
So sad!!Mshambuliaji huyo mwenye miaka 28, na rubani wake Ibbotson, 59, kutoka Crowle, North Lincolnshire, walikuwa wakisafiri kutoka Nantes alipokuwa akicheza mchezaji, kabla ya ndege hiyo kupoteza mawasiliano.
Ndiyo maisha yetu hayo bro. Yanaweza kukoma wakati wo wote. Cha muhimu ni kumkumbuka Muumba wetu tu na kutubu kwa sababu tunaweza kuitwa nyumbani enetaimu.So sad!!
Ametua bungeni majuzi hapa ikawa kasheshe. Kweli imani ndiyo inaendesha maisha ya jamii...