RIP Mzee Ojwang...
aiseee wapi hiyo...kama kitambo flani
Imepatikana ndan ya bahar iliyopo kusin mwa england na kaskazn mwa ufaransa lakn miili iliyopo ndan ya ndege haijatolewa bado hawajaongea juu kifo chochote lkn inadhaniwa wote wamefariki
Na hii inatokea leoKocha wa West Ham, Manuel Pellegrini anataka kikosi chake kuiifunge Liverpool leo Jumatatu kwa sababu mbili moja kwa timu yake pili ni kuisaidia Manchester City.