Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndege ya Shirika la ndege la Kenya ikitua jijini Kinshasa ikiwa na mwili wa mwanamuziki Nguli wa taifa hilo Jules Shungu Wembadia Kikumba maarufu kama Papa Wemba, pichani chini aliyefariki jijinii Abidjan April 24 2016.
FB_IMG_1549623233272.jpeg
FB_IMG_1549623319997.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anawachuna anatajirika au anakuwa maarufu zaidi huko kwenye tasnia yake.

Kuna mwingine nilimuona wametoa mbavu karibu zote ili afanane na Mrs. Incredible wa kwenye muvi.
Yaani kujipa afya mgogoro kisa kuvutia watu, tena wanaume!!!???
Muonekano unakufanya uwe spana mkononi!!!!!

Kwani akiuza bila kutoa mbavu haiuziki???[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kujipa afya mgogoro kisa kuvutia watu, tena wanaume!!!???
Muonekano unakufanya uwe spana mkononi!!!!!

Kwani akiuza bila kutoa mbavu haiuziki???[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mbele ya safari sijui inakuwaje hasa mfumo mzima wa kupumua?

Eti wanaume...unawadharau sana wanaume ama? Mambo mengi anayofanya mwanamke yana lengo la kuwavutia wanaume...kujipodoa. Kujirembesha. Kutikisa kunakotikisikaga.......

Haiuziki? Tunazungumzia nini prof? Uko very deep [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom