Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Patrice Lumumba alikuwa anaipeleka nchi hiyo kuwa nchi Maziwa na Asali.Ni nchi tajiri sana hii sema tu hawana bahati ya kuwa na wanasiasa wenye maono. Wangekuwa mbali sana...
Kama Mariam Makeba; alifia jukwaani doing what he liked the most...[emoji1545][emoji1545][emoji1545]Ndege ya Shirika la ndege la Kenya ikitua jijini Kinshasa ikiwa na mwili wa mwanamuziki Nguli wa taifa hilo Jules Shungu Wembadia Kikumba maarufu kama Papa Wemba, pichani chini aliyefariki jijinii Abidjan April 24 2016.View attachment 1016676View attachment 1016677
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Wamarekani...Patrice Lumumba alikuwa anaipeleka nchi hiyo kuwa nchi Maziwa na Asali.
Mobutu akaivuruga
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kujipa afya mgogoro kisa kuvutia watu, tena wanaume!!!???Anawachuna anatajirika au anakuwa maarufu zaidi huko kwenye tasnia yake.
Kuna mwingine nilimuona wametoa mbavu karibu zote ili afanane na Mrs. Incredible wa kwenye muvi.
Huko mbele ya safari sijui inakuwaje hasa mfumo mzima wa kupumua?Yaani kujipa afya mgogoro kisa kuvutia watu, tena wanaume!!!???
Muonekano unakufanya uwe spana mkononi!!!!!
Kwani akiuza bila kutoa mbavu haiuziki???[emoji23][emoji23][emoji16][emoji3][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko mbele ya safari sijui inakuwaje hasa mfumo mzima wa kupumua?
Eti haiuziki. Tunazungumzia nini prof? Uko very deep [emoji16][emoji16][emoji16]