Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kinukamori falls
FB_IMG_1549782926681.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushindi wowote kwenye mchezo huo wa jana utakuwa umemrudisha Klopp na chama lake kwenye kilele cha msimamo wa ligi hiyo huku wakisubiri kuona itakavyokuwa kwenye mechi ya leo Jumapili ambapo Man City watakipiga na Chelsea uwanjani Etihad.
 
Liverpool wao mpango wao wa msimu huu ni kubeba taji la kwanza la Ligi Kuu England, maana mara ya mwisho ilipobeba ubingwa ilikuwa mwaka 1990 na kipindi hicho ilikuwa ikifahamika kama Ligi Daraja la Kwanza. Jumatano iliyopita waliondolewa kileleni baada ya siku 52.
 
Nilipokea meseji nyingi sana wiki, mwingine alisema watu wanadhani kwamba anahitaji msaada. Mimi sihitaji msaada, nawashukuru sana, nipo sawa," alisema Klopp.
 
Mechi 10 zilizopita, Man City wamepoteza pointi 12, sisi tumepoteza saba. Sikuwa najua hilo, lakini nashangaa mtazamo wa watu huko nje umekuwa tofauti kabisa. Man City wamepoteza mechi tatu dhidi ya timu za nje ya Top Six, lakini sasa tumetoka sare mbili."
 
Back
Top Bottom