capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Oooh waaowww city piga hao chelsick tubakie nafasi ya nne sie nyie mpande ya kwanza. Daaah mpira uisheeee
Kabisaa sie tunawapenda majiraniHuu ndo unaitwa ujarani mwema!!
Imeandikwa Mpende jirani yako
Numbisa naipenda Avatar yako!!
Kama ingekuwa ndo wewe ningekuoa.
[emoji818]Tchou tchou koffi olomide
Kila timu na zamu.....Siku hizi man u raha sana
Wana furahi wakati bado wenyewe kucheza na cityKila timu na zamu.....
Namshukuru Mungu nipo vizuri ankoo. Habari ya Jumapili?Kwema ankoo,,
Mzima mamaangu?Abeee anko