Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Abeee anko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Abeee anko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
myoyambendi na moudgulf ni ndugu wawili wasiofahamiana.
Duuu,Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema ana uwezo mkubwa wa kuzikabili presha zote zinazotokana na mbio za kusaka ubingwa wa Ligi Kuu England na kwamba hahitaji msaada wa mtu yeyote.
Huu ndo unaitwa ujarani mwema!!Oooh waaowww city piga hao chelsick tubakie nafasi ya nne sie nyie mpande ya kwanza. Daaah mpira uisheeee