Aki hawa watu wa mombasha hupenda salamu[emoji134]... Kuna time nlikuwa natafta nyumba, nikapita mzee anabarizi...nkipita nkirudi nkamwuliza kama kuna vacancy akaniambia...ulivyopita hapa bila salamu, rudi tu bila salamu... Salamu ulizoninyima kaziuze ununue nyumba...ata sikuskia vibaya.