Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Fabio Quagliarella wa Sampdoria na Duvan Zapata wa Atalanta wao kila mmoja amefunga mabao 16 kwenye Serie A na hivyo kujikusanyia pointi 32, wakati Nicolas Pepe wa Lille naye ametupia mara 16 kwenye Ligue 1 na kuwa na pointi 32 sawa na kina Zapata
 
Luis Suarez na Pierre-Emerick Aubameyang wapo nyuma huko na mabao yao 15 kila mmoja na hivyo kujikuta wakiwa wamekusanya pointi 30 tu katika mbio hizo za kusaka kiatu cha Ulaya. Wachambuzi wa mambo ya soka wanaamini licha ya ushindani kuwa ni mkubwa, lakini mastaa Messi, Ronaldo na Mbappe ndio watakaotoana jasho mwanzo mwisho kwenye kuisaka tuzo hiyo binafsi kwa mchezaji mwishoni mwa msimu huu.
 
455226844_244707.jpeg
 
Back
Top Bottom