Shukrani mzee,,ngoja nizitafuteKuna moja inaitwa Geo Storm, Den of Thieves, The Vanishing,....
Labds kuna kitu wanafaidika nacho bro,maneno kama yale tena mazito vile,,aiseeHalafu mods wa siku hizi hawa mhhhh....
Aisee,,ndio naona hz taarifa,,kweli duniani tupo kwa muda tu.R.I.P Godzilla!!
Mwana hip hop mwenzenu katutoka..
ningendako Cole Williams
Sent using Jamii Forums mobile app
#TANZIA : Rapa maarufu nchini, Godzilla amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam. Mwili umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Mwenge. Endelea kifuatilia taarifa zetu....Mungu Ailaze roho ya Marehemu Zilla Mahala pema peponi... Wote tuseme #AMEN #RIP ZILLA.
Mungu anasaidia bro,hope huko pia mambo yanaenda broKwema Bro vipi mitikasi