Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
#TANZIA : Rapa maarufu nchini, Godzilla amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo Jumatano, Februari 13, 2019 akiwa nyumbani kwao, maeneo ya Salasala, Dar es Salaam. Mwili umepelekwa kuhifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo, Mwenge. Endelea kifuatilia taarifa zetu....Mungu Ailaze roho ya Marehemu Zilla Mahala pema peponi... Wote tuseme #AMEN #RIP ZILLA.