Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Yeah tuombe uzima tu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Tuombe uzima bro
Yeah tuombe uzima tu[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Tuombe uzima bro
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Tena ndiyo wanapata mzuka balaa. Sijui 15th inning and I am like what da f***.
Baseball na Golf bro ni hovyo sana. Inabidi uwe mvumilivu sana vinginevyo utakuwa frustrated tu...[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kama nakuona vile
Mpenzi wangu ameongeza heshima baada ya kunifumania - JamiiForums[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bro ukifanyiwa hvyo utataseka mwenyew,hutakuwa na aman hata kidogo,,yaan anakuacha unateseka mwenyew ww kutwa nzima uko na maswali mengi unajiuliza mbona hata hajamind,sijaitwa maneno mabovu mabovu,,,kumbe mwenzio amekusave tu,,,lazima ukonde,,,watu wa namna hii huwa hatari sana,maana hujui anafikiria nn juu yako...
Sana bro [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],,kina Esta safi sanaMtu kama Esta ndiyo poa. Unamtibua unakula zako za uso unakwenda kuugulizia maumivu yako huko halafu mnakwenda sawa. Wakimya hawa ni chalenji sana bro...inabidi uwe mvumilivu sana [emoji16][emoji16][emoji16]
HahahahahMkuu; hata kama ni kutangaza channel yako hutampata mtu kwa njia hii. Ni Advertising 101. Usimrundikie mtangaziwa matangazo mengi namna hii. Tafuta interest yake ilipo kulingana na wakati na mazingira aliyomo halafu umkamate hapo. Kwa leo video hizo mbili za Simba zingetosha. Haya mengine yooote uliyoongezea ni turn off na kukimbiza watu. Nina kijitabu hapa kinatoa mbinu 500 za kutumia katika effective advertising kama unakitaka sema nikutumie.
Hatari sanaVp umeionaje mzee???
Nmeisoma hii bro,,jamaa yuko na mawazo sana,hlf kafumwa ile redihendedi kabsa,jamaa ajiangalie sana kama ni kweli
Jamaa huwa habahatishi hata kidogo,na vitu vya maudhui yale namuona anafiti sanaHatari sana
Niaje broCREED 2