Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
sawasawaHakuna timu kati 34 zinazoshiriki mashindano hayo ambayo katika mchezo wa kwanza wa Ligi ya Mabingwa ilifungwa nyumbani mabao mawili au zaidi ikafanikiwa kusonga mbele.
Mungu awaponye wagonjwa wote
Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mungu awaponye wagonjwa wote