Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

```Leo nimekaa nikawa nawaza kwanini majina mengi ya kiswahili yanayoanza na Y kwa kiingreza yanaanza na J

Mfano

1. Yohana - John
2.Yakobo - Jacob
3.Yusufu - Joseph
4.Yoweli - Joel
5. Yesu - Jesus
6. Yuda - Judah
7.Yeremia - Jeremiah


Sasa mwishowe nikaenda mbali zaidi nikakumbuka hata timu yangu ya Yanga nayo jina linaanza na Y, likienda kwenye system ya Y kiswahili na J kiingreza??

Yanga- Janga```[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
8e661c6c-3ca4-4d80-a519-443d81eeb9bc.jpg
et hii ndo inaitwa kuzurula duniani?
 
Mkuu tuliumia sana kipindi kile ulipokosekana hapa.
Watu waalidai wasiojulikana walikuficha mahali salama[emoji16][emoji6][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kipindi kile ni kweli nilikuwa nimefichwa nikipambana kufa na kupona kupigania heshima ya ukoo. Nashukuru kuwa nililitimiza jukumu hilo kwa amani. Misambwanda hii sijui itanifikisha wapi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom