renew
Member
- Feb 9, 2019
- 68
- 167
Numbisa hivi wewe umeolewa?[emoji8]Kipigo cha Chelsea kutoka kwa City kimewaporomosha hadi nafasi ya sita jambo lililofanya gazeti la The Sun kudai kuwa siku zake zinahesabika ndani ya Stamford Bridge.
Numbisa hivi wewe umeolewa?[emoji8]Kipigo cha Chelsea kutoka kwa City kimewaporomosha hadi nafasi ya sita jambo lililofanya gazeti la The Sun kudai kuwa siku zake zinahesabika ndani ya Stamford Bridge.
Bro sio kabisa kale ka wimbo kako kule photos mpaka nikapaliwaHAKUNA....
Wala usijisumbue....
Nakuona fekeroNumbisa hivi wewe umeolewa?[emoji8]
Mm mbona sikujuiKitambo sana humu ndani, jamani hv Bob alisharudi?
Andjul uko mzima wa afya? Mchepuko wako Carba bado unao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kunijua ww, ngoja waje wakongwe kina Shimba, Numbisa, Yegomasika, mzee wa liver na wengineo waanzilishi wa huu uzi.Mm mbona sikujui
Mmh! Una majibu makavu mhenga wewe! Nikuombe kitu?Huwezi kunijua ww, ngoja waje wakongwe kina Shimba, Numbisa, Yegomasika, mzee wa liver na wengineo waanzilishi wa huu uzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante sana Bro thou kwetu haikuwa kipigo ilkua ni somo/funzo.Pole kwa kipigo cha mbwa koko cha jana kamanda...
Miye na kiTECNO changu hapa tulikukumbuka [emoji16][emoji16][emoji16]
Nakupenda bure kbsaaaaMfaransa Zidane amekuwa nje ya kazi kwa muda tangu alipojiondoa Real baada ya kuisaidia kutwaa mataji matatu mfululizo ya Ligi ya Mabingwa Mei mwaka jana.
Haya maongezi yakiendelea mwishowe yataishia kwenye kuponda Wasuku...Naomba yaishie hapa please [emoji16][emoji16][emoji16]Hahaha bila hata karbu,,siku nyingine usinisahau kwenye michembe
Ulielewa cho chote. Niliweka huku nikijua kuwa hutaelewa kitu [emoji85][emoji85][emoji85]Bro sio kabisa kale ka wimbo kako kule photos mpaka nikapaliwa
[emoji16][emoji23][emoji16][emoji23][emoji870][emoji23][emoji16][emoji23].Nakuona fekeroView attachment 1021513
Bob Al Shabab walishafanya yao. Hujambo lakini bageshi?Kitambo sana humu ndani, jamani hv Bob alisharudi?
Andjul uko mzima wa afya? Mchepuko wako Carba bado unao?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23]nilielewaUlielewa cho chote. Niliweka huku nikijua kuwa hutaelewa kitu [emoji85][emoji85][emoji85]
Uzi huu unavunja rekodi kwa mafyekero [emoji16][emoji16][emoji16]Nakuona fekeroView attachment 1021513
Sana afu yeye anajiona mjaanjaaUzi huu unavunja rekodi kwa mafyekero [emoji16][emoji16][emoji16]
Mjinga tu yule wanguSana afu yeye anajiona mjaanjaa
Unajua kuwa ulitandaza mkeka? iPhone yangu napata au sipati? [emoji16][emoji16][emoji16]Ahsante sana Bro thou kwetu haikuwa kipigo ilkua ni somo/funzo.
Ni vizuri TECNO yako bado ina uwezo wa kutunza kumbukumbu.