Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Njoo na ID yako maarufu
Tena muoga yule kajificha kwenye renewMjinga tu yule wangu
Tena muoga yule kajificha kwenye renewMjinga tu yule wangu
Hahahaaa! Nimebadiri kupisha upepo wa LisuNjoo na ID yako maarufu
Tena muoga yule kajificha kwenye renew
Weka likes watakujia.....Nani anitafutie demu mzuri humu plz?
Pole na Hongera pia kwa kufanikisha kulinda vema heshima ya ukooKipindi kile ni kweli nilikuwa nimefichwa nikipambana kufa na kupona kupigania heshima ya ukoo. Nashukuru kuwa nililitimiza jukumu hilo kwa amani. Misambwanda hii sijui itanifikisha wapi wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!!! [emoji51][emoji51][emoji51]Naruhusiwa kutongoza hapa?
Nitajitahidi kabla ya mwaka huu kuisha, utapata iPhone yako.Unajua kuwa ulitandaza mkeka? iPhone yangu napata au sipati? [emoji16][emoji16][emoji16]
Ni kweli. Kipigo hicho bila shaka kitawaamsha na kuacha kulewa sifa za Ole Gunner na makorokocho mengine...Back to the drawing board ...
Maombi yako yapitie kwa andjul tafadhali[emoji23]Mmh! Una majibu makavu mhenga wewe! Nikuombe kitu?
Fyekero limekuja kivingine [emoji16][emoji16][emoji16]Duh!!! [emoji51][emoji51][emoji51]
Mh!!Hahahaaa! Nimebadiri kupisha upepo wa Lisu
Sijambo kbs, habari za siku nyingiBob Al Shabab walishafanya yao. Hujambo lakini bageshi?
Hayo ndo maneno sasa. Blessings bro !!!Nitajitahidi kabla ya mwaka huu kuisha, utapata iPhone yako.
OLE ana jitahidi sana ni vile squad haifikii viwango kumpa ushindi UCL.
WACHA TUWEKE TUMAINI KWA USAJILI KABLA DIRISHA KUFUNGWA.