Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole zake [emoji16][emoji16][emoji16]
455218858_130864.jpeg
 
Wamarekani hawakuhusika?
Wamarekani walikua moja ya sababu ya kupinduliwa kwa mtawala huyo.
Inadaiwa alikua na urafiki nao kama ilivyo leo kwa ufalme wa Saudi Arabia.
Tunaambiwa baada ya Shah Mohamedi Reza kupinduliwa Marekani walianzisha urafiki na Saddam Hussein, badaye wakamshawishi aanzishe vita na Iran nia ilikua kumrudisha madarakani Shah.
Nadhani unaikimbuka vita hiyo kali iliyopiganwa kwa miaka 8 toka sep 22 1980 mpaka August 20 1988, baina ya mataifa hayo jirani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
✔✔
 
Ningeshangaa kama wangekosekana. Popote pale penye mapinduzi kwa namna moja au nyingine wanahusika...hasa kama kuna resources wanazozitaka...
 
Back
Top Bottom