Nakupenda consuela
ayeeeee [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Shiroooooo ini da hausi [emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734][emoji1734]
Poa kabisa Shiro. Za miaka?
Wamarekani walikua moja ya sababu ya kupinduliwa kwa mtawala huyo.Wamarekani hawakuhusika?
Halafu wewe unaringa sanawapendwa hamjambo?
Amen. Fikisha salamu kwa binti yangu ...ayeeeee [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Nzuri brathee. Mungu ni mwema
✔✔Wamarekani walikua moja ya sababu ya kupinduliwa kwa mtawala huyo.
Inadaiwa alikua na urafiki nao kama ilivyo leo kwa ufalme wa Saudi Arabia.
Tunaambiwa baada ya Shah Mohamedi Reza kupinduliwa Marekani walianzisha urafiki na Saddam Hussein, badaye wakamshawishi aanzishe vita na Iran nia ilikua kumrudisha madarakani Shah.
Nadhani unaikimbuka vita hiyo kali iliyopiganwa kwa miaka 8 toka sep 22 1980 mpaka August 20 1988, baina ya mataifa hayo jirani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiiiiii!Halafu wewe unaringa sana
Kwema kaka yangu mpendwa. Habari ya uzima wako?Binti mpole kwema? [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
Ningeshangaa kama wangekosekana. Popote pale penye mapinduzi kwa namna moja au nyingine wanahusika...hasa kama kuna resources wanazozitaka...Wamarekani walikua moja ya sababu ya kupinduliwa kwa mtawala huyo.
Inadaiwa alikua na urafiki nao kama ilivyo leo kwa ufalme wa Saudi Arabia.
Tunaambiwa baada ya Shah Mohamedi Reza kupinduliwa Marekani walianzisha urafiki na Saddam Hussein, badaye wakamshawishi aanzishe vita na Iran nia ilikua kumrudisha madarakani Shah.
Nadhani unaikimbuka vita hiyo kali iliyopiganwa kwa miaka 8 toka sep 22 1980 mpaka August 20 1988, baina ya mataifa hayo jirani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zimefika broAmen. Fikisha salamu kwa binti yangu ...
MmmmmmmhNaomba uyapitishie kwa niaba muhenga, I will pay two lips kisses