Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ningeshangaa kama wangekosekana. Popote pale penye mapinduzi kwa namna moja au nyingine wanahusika...hasa kama kuna resources wanazozitaka...
Inadaiwa ugomvi unaoendelea sasa baina ya Marekani na Iran sababu kubwa ni kuondoshwa kwa Shah.
Marekani haikubaliani na misimamo utawala wa Kiislam wa Iran..
Inaona usalama wa nchi rafiki zake za Ghuba unakuwa mdogo hasa kutokana na ushawishi wa waislam hao wa kishia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…