Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mhenga mwenzangu kule namuona hoi. Hawa ndiyo wanazimikaga katikati ya mechi hawa wanaishia kuendelea kumtajirisha Shigongo [emoji16][emoji16][emoji16]

Imagine mtu unazimikia Gold Crest. Aibuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ishu ni kali nimeona comment huko insta wanasema binti hatupo nae duniani baada ya kupost hizo picha.
 
"...na kila amwangaliaye mwanamke kwa jicho la kumtamani tayari ameshazini naye moyoni mwake..."

Huwa natikisaga kichwa tu na kuondoka kimya kimya [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Na wale wenye misambwanda unaotupiaga hapa maandiko yanasemaje kamanda?[emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nawaona vile mtakavyoninunia[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Uzi huu ni burudani tosha[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Unafikiri ni kwa nini kuondoka kabisa kabisa imeshindikana? Mtu unatekwa na nywila unanyang'anywa lakini siku ukiachiliwa tu stendi ya kwanza ni huku. Uraibu kokeini cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Inategemea lakini na huyo someone[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…