[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]mbona poa tuDaaah sio poa kabisaView attachment 1021613
AseHii ishu ni kali nimeona comment huko insta wanasema binti hatupo nae duniani baada ya kupost hizo picha.
Sana.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mhenga mwenzangu kule namuona hoi. Hawa ndiyo wanazimikaga katikati ya mechi hawa wanaishia kuendelea kumtajirisha Shigongo [emoji16][emoji16][emoji16]
Imagine mtu unazimikia Gold Crest. Aibuuuu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
He!!!Hii ishu ni kali nimeona comment huko insta wanasema binti hatupo nae duniani baada ya kupost hizo picha.
Duuu, huku kwetu tunaambiwa "Na msiikaribie zinaa"Maandiko hayabadiliki mkuu. Ni kwenda motoni tu hakuna namna...!!!