Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa za ndani zimedai wachezaji walizungumza kwa uwazi kuhusu mwenendo mbaya wa timu hiyo bila kujali kama kocha Maurizzio Sarri atabaki au atafukuzwa.
 
Hata hivyo, hakuna taarifa rasmi kama Sarri alihusishwa katika kikao hicho ambacho kilikuwa na lengo la kutoka na azimio moja la kuongeza kasi katika mechi zinazofuata.
 
Chelsea inashika nafasi ya sita katika msimamo wa Ligi Kuu England ikiwa nyuma pointi 15 dhidi ya Man City.
 
Joyce Mbunda, dada wa mwanamuziki wa Hip Hop, Godzillah aliyefariki dunia leo Jumatano Februari 13, 2019 amesema ndugu yake aliteswa na kitu kilichokwama tumboni kwa zaidi ya siku tatu na kumfanya atapike mfululizo.
 
Akizungumza leo nyumbani kwao Salasala jijini Dar es Salaam, Joyce amesema mwanamuziki huyo Golden Mbunda alikuwa akitapika kwa siku tatu mfululizo.
 
Amesema rapa huyo aliyewahi kutamba na wimbo Lakuchumpa alianza kujisikia vibaya na alipokwenda hospitali alibainika kuwa na malaria, sukari kuwa juu na presha.
 
Jumapili (Februari 10, 2019) alilala muda mrefu, haikuwa kawaida. Baadaye akaomba barafu tulivyompa akaanza kutapika ndipo tulipompeleka hospitali na kugundulika ana malaria, sukari imepanda sana na presha imeshuka,” amesema.
 
Pia marehemu alisema kuna kitu kiling’ang’ania tumboni kama vile kinataka kutoka ila kinagoma, alijaribu kukitoa kwa kujitapisha lakini hakikutoka.”
 
Alipewa ruhusa ingawa alikuwa anaendelea kutapika. Usiku akaanza kuishiwa nguvu. Tukamrudisha hospitali akawekewa dripu mwisho akaandikiwa dozi ya siku 10. Alipofika nyumbani alisali kabla ya kuingia kulala lakini haikuchukua dakika 10 akaanza kuniita,” amesema.
 
Unafikiri ni kwa nini kuondoka kabisa kabisa imeshindikana? Mtu unatekwa na nywila unanyang'anywa lakini siku ukiachiliwa tu stendi ya kwanza ni huku. Uraibu kokeini cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mkuu kuna wakati nilikuwa naziona likes zako tu lakini mwenyewe ulikuwa huchangii chchote.[emoji16][emoji16]nikaona jamaa yangu yupo chimbo la aina yake[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alipewa ruhusa ingawa alikuwa anaendelea kutapika. Usiku akaanza kuishiwa nguvu. Tukamrudisha hospitali akawekewa dripu mwisho akaandikiwa dozi ya siku 10. Alipofika nyumbani alisali kabla ya kuingia kulala lakini haikuchukua dakika 10 akaanza kuniita,” amesema.
 
Nilimfuata chumbani nikiwa na mama, akatuambia naona watu wengi wananifuata wamezunguka nyumba wanataka kunichukua. Akainuka ghafla akasema acha nitoke nje, tukamshika maana alikuwa anaihangaika akamlalia mama na hakuinuka tena.”
 
Back
Top Bottom